Supervised user import: Listen for profile creation/deletion
[chromium-blink-merge.git] / chrome / app / resources / chromium_strings_sw.xtb
blob22f2d267b24e6da48e411d48d03d2687bcd41425
1 <?xml version="1.0" ?><!DOCTYPE translationbundle><translationbundle lang="sw">
2 <translation id="6676384891291319759">Fika kwenye wavuti</translation>
3 <translation id="8586442755830160949">Hakimiliki <ph name="YEAR"/> Wasanidi wa Chromium. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
4 <translation id="6373523479360886564">Je, una hakika unataka kusanidua Chromium?</translation>
5 <translation id="6510925080656968729">Sanidua Chromium</translation>
6 <translation id="2615699638672665509">Hivi karibuni kompyuta hii itaacha kupokea sasisho za Chromium kwa sababu maunzi yake hayatumiki tena.</translation>
7 <translation id="5532301346661895910">Chromium itahifadhi hii katika |manenosiri yako yaliyohifadhiwa kwenye Google na iikumbuke wakati ujao utakapolihitaji.</translation>
8 <translation id="6893813176749746474">Chromium imesasishwa, lakini hujaitumia angalau kwa siku 30.</translation>
9 <translation id="2732467638532545152">Kompyuta yako inatumia toleo la zamani la Microsoft Windows ambalo haliwezi kuchakata cheti cha usalama cha tovuti. Kwa sababu ya tatizo hili, Chromium haiwezi kutambua ikiwa cheti kilitoka kwenye <ph name="SITE"/> au kwa mtu kwenye mtandao wako anayejifanya kuwa <ph name="SITE"/>. Tafadhali pata toleo jipya sana la Windows kwa kompyuta yako.</translation>
10 <translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:</translation>
11 <translation id="6613594504749178791">Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua upya Chromium.</translation>
12 <translation id="9089354809943900324">Chromium imepitwa na wakati</translation>
13 <translation id="59625444380784159">Maelezo kutoka kwa anwani zako yanaweza kukusaidia kujaza fomu kwa haraka zaidi katika Chromium.</translation>
14 <translation id="3748537968684000502">Unatazama ukurasa salama wa Chromium.</translation>
15 <translation id="2077129598763517140">Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana</translation>
16 <translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
18 Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
19 <translation id="7861509383340276692">Nenda kwenye
20 menyu ya Chromium &gt;
21 <ph name="SETTINGS_TITLE"/>
22 <ph name="ADVANCED_TITLE"/>na uondoe tiki kwenye &quot;<ph name="NO_PREFETCH_DESCRIPTION"/>.&quot;
23 Ikiwa hili halitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena chaguo hili kwa utendaji ulioboreshwa.</translation>
24 <translation id="4423735387467980091">Dhibiti na ugeuze Chromium ikufae</translation>
25 <translation id="1881322772814446296">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio nyingine itahusishwa na<ph name="USER_NAME"/> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kwa hiari kuunda wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chromium iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE"/></translation>
26 <translation id="5620765574781326016">Pata maelezo kuhusu mada zilizo kwenye tovuti bila kuondoka kwenye ukurasa.</translation>
27 <translation id="731644333568559921">Sasisha Chromium OS</translation>
28 <translation id="7421823331379285070">Chromium inahitaji Windows XP au toleo la awali. Huenda vipengele vingine visifanye kazi.</translation>
29 <translation id="1185134272377778587">Kuhusu Chromium</translation>
30 <translation id="7023267510504981715">Lazima upate toleo jipya la Chrome ili utumie Google Wallet [<ph name="ERROR_CODE"/>].</translation>
31 <translation id="1444754455097148408">Leseni za programu huria kwenye Chromium</translation>
32 <translation id="7419987137528340081">Iwapo unapendelea kutenganisha data yako iliyopo ya Chromium, unaweza kuingiza mtumiaji mpya wa Chromium kwa <ph name="USER_NAME"/>.</translation>
33 <translation id="5427571867875391349">Weka Chromium kuwa kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
34 <translation id="8030318113982266900">Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha <ph name="CHANNEL_NAME"/>...</translation>
35 <translation id="3883381313049582448">Tumia nenosiri lililozalishwa na Chromium</translation>
36 <translation id="3549345495227188780">Anza kutumia Chromium OS</translation>
37 <translation id="1668054258064581266">Baada ya kuondoa akaunti yako kwenye Chromium, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi.</translation>
38 <translation id="4285930937574705105">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Chromium inaendesha sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
39 <translation id="1396446129537741364">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
40 <translation id="8987477933582888019">Kivinjari cha Wavuti</translation>
41 <translation id="4050175100176540509">Maboresho muhimu ya usalama na vipengele vipya vinapatikana katika toleo jipya.</translation>
42 <translation id="2886012850691518054">Hiari: Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma takwimu za matumizi na ripoti za uharibifu kiotomatiki kwa Google.</translation>
43 <translation id="580822234363523061">Nenda kwenye
44 menyu ya Chromium &gt;
45 <ph name="SETTINGS_TITLE"/>
46 &gt;
47 <ph name="ADVANCED_TITLE"/>
48 &gt;
49 <ph name="PROXIES_TITLE"/>
50 na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye &quot;hakuna proksi&quot; au &quot;moja kwa moja.&quot;</translation>
51 <translation id="3848258323044014972"><ph name="PAGE_TITLE"/> - Chromium</translation>
52 <translation id="7729447699958282447">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
53 <translation id="3738139272394829648">Gusa ili Utafute</translation>
54 <translation id="3103660991484857065">Kisakinishi kilishindwa kufinyuza kumbukumbu. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
55 <translation id="7064610482057367130">Hakuna usakinishi wa Chromium uliopatikana kusasishwa.</translation>
56 <translation id="872034308864968620">Acha Chromium Iendelee Katika Madnarinyuma</translation>
57 <translation id="459535195905078186">Programu za Chromium</translation>
58 <translation id="5109068449432240255">Ndiyo, ondoka Chromium</translation>
59 <translation id="8134284582177628525">Ukishiriki kompyuta hii na <ph name="PROFILE_NAME"/>, jiongeze kwenye Chromium ili uvinjari tofauti. Vinginevyo ondoa Akaunti yake ya Google.</translation>
60 <translation id="1480489203462860648">Ijaribu, tayari imesakinishwa</translation>
61 <translation id="3032787606318309379">Inaongeza kwenye Chromium...</translation>
62 <translation id="4222580632002216401">Sasa umeingia kwenye Chromium! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.</translation>
63 <translation id="4207043877577553402"><ph name="BEGIN_BOLD"/>Ilani:<ph name="END_BOLD"/> Chromium haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, ondoa tiki kwenye chaguo hili.</translation>
64 <translation id="985602178874221306">Waandishi wa Chromium</translation>
65 <translation id="8628626585870903697">Chromium haijumuishi kitazamaji cha PDF kinachohitajika ili Uhakiki wa Uchapishaji ufanye kazi.</translation>
66 <translation id="7138853919861947730">Huenda Chromium ikatumia huduma za wavuti kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.</translation>
67 <translation id="4743926867934016338">Kubali na Utafute</translation>
68 <translation id="3849925841547750267">Cha kusikitisha, mipangilio yako ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kinapoendesha. Ili kuleta mipangilio hiyo kwenye Chromium, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.</translation>
69 <translation id="7027298027173928763">Chromium haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kusakinisha Chromium tena mwenyewe.</translation>
70 <translation id="8897323336392112261">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapobofya kitufe cha Mwanzo.</translation>
71 <translation id="4330585738697551178">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
72 <translation id="3190315855212034486">Lo! Chromium imevurugika. Unataka kuzindua upya sasa?</translation>
73 <translation id="3068515742935458733">Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na <ph name="UMA_LINK"/> kwenda Google</translation>
74 <translation id="734373864078049451">Wavuti, alamisho, na mambo yako mengine ya Chromium yanapatikana hapa.</translation>
75 <translation id="3197823471738295152">Kifaa chako kimesasishwa.</translation>
76 <translation id="3065280201209294872">Tovuti inatumia mipangilio ya usalama iliyopitwa na wakati ambayo huenda imezuia matoleo ya baadaye ya Chromium kutokuwa na uwezo wa kuifikia kwa usalama.</translation>
77 <translation id="8551886023433311834">Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha.</translation>
78 <translation id="8353224596138547809">Je, unataka Chromium ihifadhi nenosiri lako la tovuti hii?</translation>
79 <translation id="8738058698779197622">Ili kutambua muunganisho salama, saa yako inahitaji kuwekwa sahihi. Hii ni kwa sababu vyeti ambavyo tovuti hutumia kujitambua ni sahihi kwa vipindi mahususi pekee. Kwa kuwa saa ya kifaa chako si sahihi, Chromium haiwezi kuthibitisha vyeti hivi.</translation>
80 <translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
81 <translation id="7463979740390522693">Chromium - Arifa (<ph name="QUANTITY"/> hazijasomwa)</translation>
82 <translation id="225614027745146050">Karibu</translation>
83 <translation id="5823381412099532241">Chromium haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kupata toleo jipya la Chromium.</translation>
84 <translation id="7473891865547856676">La Asante</translation>
85 <translation id="9191268552238695869">Msimamizi amesakinisha Chromium kwenye mfumo, na inapatikana kwa watumiaji wote. Chromium ya kiwango cha mfumo itabadilisha usakinishaji wa kiwango cha mtumiaji sasa.</translation>
86 <translation id="3509308970982693815">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
87 <translation id="8851136666856101339">kuu</translation>
88 <translation id="4077262827416206768">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na uizindue upya Chromium ili mabadiliko haya yaanze kufanya kazi.</translation>
89 <translation id="6475912303565314141">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
90 <translation id="1725059042853530269"><ph name="FILE_NAME"/> inaweza kudhuru hali yako ya kuvinjari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
91 <translation id="750717762378961310">Faili hili ni hasidi, na Chromium imeizuia.</translation>
92 <translation id="6944967875980567883">Vipengee vilivyopakiwa kwenye Chromium</translation>
93 <translation id="6899795326977034905">Kwenye Mac, manenosiri yanahifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kusawazishwa na watumiaji wengine wa Chrome wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.</translation>
94 <translation id="3046695367536568084">Unapaswa kuwa umeingia katika akaunti ya Chromium ili utumie programu hizi. Hii inaruhusu Chromium kusawazisha programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine katika vifaa vyote.</translation>
95 <translation id="3296368748942286671">Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Chromium imefungwa</translation>
96 <translation id="473775607612524610">Sasisha</translation>
97 <translation id="5466153949126434691">Chromium husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote. Upakuaji huu unapokamilika, Chromium itajizima na kuwaka tena na utaanza kutumia.</translation>
98 <translation id="3656661827369545115">Fungua Chromium kiotomatiki kompyuta yako inapowashwa</translation>
99 <translation id="2241627712206172106">Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chromium jinsi wapendavyo.</translation>
100 <translation id="1763864636252898013">Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni <ph name="DOMAIN"/>; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.</translation>
101 <translation id="6055895534982063517">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
102 <translation id="8821041990367117597">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
103 <translation id="4677944499843243528">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Chromium (<ph name="PROCESS_ID"/>) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME"/>). Chromium imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inatumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue tena Chromium.</translation>
104 <translation id="4994636714258228724">Jiongeze kwenye Chrome</translation>
105 <translation id="7066436765290594559">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia kusawazisha.</translation>
106 <translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
107 <translation id="3258596308407688501">Chromium haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
109 <ph name="USER_DATA_DIRECTORY"/></translation>
110 <translation id="1869480248812203386">Unaweza kusaidia kuifanya Chromium salama na rahisi zaidi kutumia kwa kuripoti maelezo ya uwezekano wa matukio yasiyo salama kwa Google kiotomatiki.</translation>
111 <translation id="5094747076828555589">Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni <ph name="DOMAIN"/>; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na Chromium. Hii inaweza kusababishwa na kusanidi kusikofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.</translation>
112 <translation id="6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...</translation>
113 <translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
114 <translation id="85843667276690461">Pata msaada kwa kutumia Chromium</translation>
115 <translation id="7731057871445607139">Je, Chromium imebadilika visivyo?</translation>
116 <translation id="5358375970380395591">Unaingia katika akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio miingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME"/> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE"/></translation>
117 <translation id="9036189287518468038">Kizinduzi cha Programu ya Chromium</translation>
118 <translation id="5563479599352954471">Tafuta kwa mguso mmoja tu</translation>
119 <translation id="8493179195440786826">Chromium Imepitwa na Wakati</translation>
120 <translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
121 <translation id="95514773681268843"><ph name="DOMAIN"/> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Chromium OS.</translation>
122 <translation id="1699664235656412242">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Window 8) na ujaribu tena.</translation>
123 <translation id="6734080038664603509">Sasisha &amp;Chromium</translation>
124 <translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
125 <translation id="2535480412977113886">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
126 <translation id="8697124171261953979">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.</translation>
127 <translation id="894903460958736500">Programu unayotumia kwenye kompyuta haioani na Chromium.</translation>
128 <translation id="1774152462503052664">Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma</translation>
129 <translation id="9022552996538154597">Ingia kwenye Chromium</translation>
130 <translation id="4365115785552740256">Chromium imerahisishwa na mradi wa programu huria ya <ph name="BEGIN_LINK_CHROMIUM"/>Chromium<ph name="END_LINK_CHROMIUM"/> na programu nyingine <ph name="BEGIN_LINK_OSS"/>huria<ph name="END_LINK_OSS"/>.</translation>
131 <translation id="9190841055450128916">Chromium (mDNS-In)</translation>
132 <translation id="4987820182225656817">Walioalikwa wanaweza kutumia Chromium bila kuacha kitu chochote nyuma.</translation>
133 <translation id="3487263810738775861">Kiendelezi kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
134 <translation id="5877064549588274448">Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.</translation>
135 <translation id="7549178288319965365">Kuhusu Chromium OS</translation>
136 <translation id="6248213926982192922">Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguo-msingi</translation>
137 <translation id="4943838377383847465">Chromium iko katika hali ya chini chini.</translation>
138 <translation id="6309712487085796862">Chromium inatumia kamera yako.</translation>
139 <translation id="7337881442233988129">Chromium</translation>
140 <translation id="5820394555380036790">Chromium OS</translation>
141 <translation id="6757767188268205357">Usinisumbue</translation>
142 <translation id="3736987306260231966">Chromium haiwezi kuonyesha ukurasa wa wavuti kwa sababu kompyuta yako haijaunganishwa kwenye Intanenti.</translation>
143 <translation id="1745962126679160932">Chromium itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo ya siku za usoni.</translation>
144 <translation id="275588974610408078">Kuripoti uharibifu hakupatikana katika Chromium.</translation>
145 <translation id="5909170354645388250">Haitumiki katika Chromium. Kishika nafasi cha kuweka ramani za raslimali zikiwa zimesawazishwa. Inatarajia hoja moja: $1.</translation>
146 <translation id="1144202035120576837">Kwa kawaida <ph name="SITE"/> hutumia usimbaji fiche ili kulinda maelezo yako. Chromium ilipojaribu kuunganisha kwenye <ph name="SITE"/> wakati huu, tovuti ilituma kitambulisho kisicho cha kawaida na batili. Huenda mvamizi anajaribu kujifanya kuwa <ph name="SITE"/>, au skrini ya kuingia kwenye Wi-Fi imeingilia muunganisho. Maelezo yako yangali salama kwa sababu Chromium ilisimamisha muunganisho kabla data yoyote haijabadilishwa.</translation>
147 <translation id="2316129865977710310">La, asante</translation>
148 <translation id="7937630085815544518">Uliingia kwenye Chromium kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS"/>. Tafadhali tumia akaunti hiyo hiyo kuingia tena.</translation>
149 <translation id="2685838254101182273">Chromium imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.</translation>
150 <translation id="8684913864886094367">Chromium haikuzimika kwa njia sahihi.</translation>
151 <translation id="3582788516608077514">Inasasisha Chromium...</translation>
152 <translation id="7223968959479464213">Kidhibiti cha Shughuli - Chromium</translation>
153 <translation id="1779356040007214683">Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE"/> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
154 <translation id="6883876366448858277">hutuma neno na muktadha wake kwenye Tafuta na Google, kurejesha ufafanuzi, picha, na matokeo mengine ya utafutaji.</translation>
155 <translation id="6638567566961868659">Pata alamisho zako katika menyu ya Chromium au kwenye upau wa alamisho.</translation>
156 <translation id="2673087257647337101">Inakaribia kusasishwa! Anzisha Chromium upya ili kukamilisha kusasisha.</translation>
157 <translation id="1293235220023151515">Usakinishi tatanishi wa Chromium ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali uondoe na ujaribu tena.</translation>
158 <translation id="5398878173008909840">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana.</translation>
159 <translation id="2648074677641340862">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa usakinishaji. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
160 <translation id="5942520288919337908"><ph name="EXTENSION_NAME"/> imeongezwa kwenye Chromium.</translation>
161 <translation id="549669000822060376">Tafadhali subiri Chromium inaposakinisha sasisho mpya ya mfumo.</translation>
162 <translation id="6930860321615955692">https://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe</translation>
163 <translation id="4559775032954821361">Nenda kwenye
164 menyu ya Chromium &gt;
165 <ph name="SETTINGS_TITLE"/>
166 &gt;
167 <ph name="ADVANCED_TITLE"/>
168 &gt;
169 <ph name="PROXIES_TITLE"/>
170 &gt;
171 Mipangilio ya LAN
172 na uondoe tiki &quot;Tumia seva ya proksi kwa kikasha kaguzi chako cha LAN&quot;.</translation>
173 <translation id="8621669128220841554">Usakinishaji ulishindwa kwa sababu ya hitilafu isiyobainika. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
174 <translation id="6717134281241384636">Wasifu wako hauwezi kutumiwa kwa sababu umetoka katika toleo jipya la Chromium.
176 Baadhi ya vipengele huenda visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au utumie toleo jipya la Chromium.</translation>
177 <translation id="8907580949721785412">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
178 <translation id="4404275227760602850">Nenda kwenye menyu ya Chromium &gt; Mipangilio &gt; Faragha (Iliyoboreshwa)
179 na uzime &quot;Leta mapema rasilimali za kurasa.&quot;
180 Ikiwa hili halitatui tatizo, tunapendekeza uwashe chaguo hili
181 tena kwa utendaji ulioimarishwa.</translation>
182 <translation id="1174473354587728743">Ungependa kushiriki kompyuta? Sasa unaweza kusanidi Chromium kama tu unavyoipenda.</translation>
183 <translation id="9013087743919948559">Ongeza kwenye Chromium</translation>
184 <translation id="2525993619214772747">Je, Chromium imebadilika visivyo?</translation>
185 <translation id="6334986366598267305">Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chromium pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.</translation>
186 <translation id="6212496753309875659">Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali sanidua Chromium na ujaribu tena.</translation>
187 <translation id="1115445892567829615">Chromium haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.</translation>
188 <translation id="1298199220304005244">Pata msaada unapotumia Chromium OS</translation>
189 <translation id="331951419404882060">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.</translation>
190 <translation id="8187289872471304532">Nenda kwenye
191 Programu &gt; Mapendeleo ya Mfumo &gt; Mtandao &gt; Uboreshaji &gt; Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa.</translation>
192 <translation id="2801146392936645542"><ph name="FILE_NAME"/> ni hasidi, na Chromium imeizuia.</translation>
193 <translation id="4488676065623537541">Maelezo yako ya utozwaji yamehifadhiwa katika Chromium.</translation>
194 <translation id="130631256467250065">Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako.</translation>
195 <translation id="3244477511402911926">Kituo cha Chromium cha Taarifa</translation>
196 <translation id="9197815481970649201">Sasa umeingia kwenye Chromium</translation>
197 <translation id="1929939181775079593">Chromium haiamiliki. Zindua upya sasa?</translation>
198 <translation id="1414495520565016063">Umeingia kwenye Chromium!</translation>
199 <translation id="2158734852934720349">Leseni za programu huria kwenye Chromium OS</translation>
200 <translation id="2966088006374919794">Chromium inahitaji kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME"/>. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK"/>.</translation>
201 <translation id="2558235863893655150">Je, unataka Chrome ihifadhi nenosiri lako?</translation>
202 <translation id="6485906693002546646">Unatumia <ph name="PROFILE_EMAIL"/> kusawazisha vitu vyako vya Chromium. Ili usasishe mapendeleo yako ya usawazishaji au utumie Chromium bila akaunti ya Google, tembelea <ph name="SETTINGS_LINK"/>.</translation>
203 <translation id="705851970750939768">Sasisha Chromium</translation>
204 <translation id="5772805321386874569">(inahitaji uanzishaji upya wa <ph name="BEGIN_BUTTON"/>Chromium<ph name="END_BUTTON"/>)</translation>
205 <translation id="1688750314291223739">Sanidi Usawazishaji ili uhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Chromium katika kompyuta yoyote</translation>
206 <translation id="8610831143142469229">Ruhusu Chromium ifikie mtandao kwenye mipangilio yako ya ngome au kingavirusi.</translation>
207 <translation id="6424492062988593837">Chromium imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.</translation>
208 <translation id="811857857463334932">Kompyuta hii haitapokea tena sasisho za Chromium kwa sababu maunzi yake hayatumiki tena.</translation>
209 <translation id="2910007522516064972">Kuhusu Chromium</translation>
210 <translation id="8453117565092476964">Kumbukumbu ya kisakinishi imeharibika au ni batili. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
211 <translation id="3889543394854987837">Bofya jina lako ili ufungue Chromium na uanze kuvinjari.</translation>
212 <translation id="3130323860337406239">Chromium inatumia maikrofoni yako.</translation>
213 <translation id="7196020411877309443">Ni kwa kwa nini ninaona hii?</translation>
214 <translation id="457845228957001925">Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chromium</translation>
215 <translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS"/>. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
216 <translation id="7483335560992089831">Haiwezi kusakinisha toleo sawia la Chromium ambalo linaendeshwa hivi sasa. Tafadhali funga Chromium na ujaribu tena.</translation>
217 <translation id="1150979032973867961">Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni <ph name="DOMAIN"/>; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.</translation>
218 <translation id="7641113255207688324">Chromium si kivinjari chako chaguo-msingi.</translation>
219 <translation id="4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.</translation>
220 <translation id="2847479871509788944">Ondoa kwenye Chromium...</translation>
221 <translation id="761356813943268536">Chromium inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
222 <translation id="805745970029938373">Unaweza kuona arifa zako zote kutoka kwa programu za Chromium, viendelezi, na tovuti hapa.</translation>
223 <translation id="2119636228670142020">Kuhusu Chromium OS</translation>
224 <translation id="1708666629004767631">Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium.</translation>
225 <translation id="378917192836375108">Chromium hukuruhusu kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipiga kwa Skype.</translation>
226 <translation id="8724049448828509830">Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Chromium na kughairi upakuaji?</translation>
227 <translation id="608189560609172163">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitalafu ya kuingia katika akaunti.</translation>
228 <translation id="4888717733111232871">Sheria ya ndani ya Chromium ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
229 <translation id="151962892725702025">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
230 <translation id="3360567213983886831">Chromium Binaries</translation>
231 <translation id="8985587603644336029">Awali kuna mtu aliingia katika Chromium kwenye kompyuta hii kama <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST"/>. Iwapo hiyo si akaunti yako, fungua mtumiaji mwengine wa Chromium ili utenge maelezo yako.
233 Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chromium kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye <ph name="ACCOUNT_EMAIL_NEW"/>.</translation>
234 <translation id="2739631515503418643">Kuna maudhui yanayopakuliwa sasa. Ungependa kuondoka kwenye Chromium na ughairi vipakuliwa?</translation>
235 <translation id="9013262824292842194">Chromium inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au zaidi.</translation>
236 <translation id="1967743265616885482">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
237 <translation id="7962572577636132072">Chromium husasisha kiotomatiki, kwa hivyo, utakuwa na toleo jipya zaidi wakati wowote.</translation>
238 <translation id="722928257909516027">Onyesha menyu ya Chromium</translation>
239 <translation id="3744899669254331632">Huwezi kutembelea <ph name="SITE"/> sasa hivi kwa sababu tovuti ilituma kitambulisho kilichoharibika ambacho Chromium haiwezi kuchakata. Hitilafu na uvamizi wa mtandao kwa kawaida huwa vya muda, kwa hivyo ukurasa huu huenda utafanya kazi baadaye.</translation>
240 <translation id="8704119203788522458">Hii ni Chromium yako</translation>
241 <translation id="8269379391216269538">Saidia ili kuiboresha Chromium</translation>
242 <translation id="4224199872375172890">Chromium imesasishwa.</translation>
243 <translation id="5862307444128926510">Karibu kwenye Chromium</translation>
244 <translation id="7318036098707714271">Faili yako ya mapendeleo imeharibika au ni batili.
246 Chromium haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
247 <translation id="918373042641772655">Kuondoa <ph name="USERNAME"/> kutafuta historia, alamisho, mipangilio, na data zako nyingine kwenye Chromium zilizohifadhiwa kwenye kifaa hiki. Data iliyohifadhiwa katika Akaunti ya Google haitafutwa na inaweza kudhibitiwa kwenye <ph name="GOOGLE_DASHBOARD_LINK"/>Dashibodi ya Google<ph name="END_GOOGLE_DASHBOARD_LINK"/>.</translation>
248 <translation id="6403826409255603130">Chromium ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya haraka, imara, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi dhidi ya hadaa na programu hasidi ukiwa na ulinzi uliojengwa ndani ya Chromium.</translation>
249 <translation id="4230135487732243613">Ungependa kuunganisha data yako ya Chromium kwenye akaunti hii?</translation>
250 <translation id="2572494885440352020">Kisaidizi cha Chromium</translation>
251 <translation id="7617377681829253106">Chromium imeboreshwa</translation>
252 <translation id="352783484088404971">Ondoa Kwenye Chromium...</translation>
253 <translation id="442817494342774222">Chromium imesanidiwa ili kuanza moja kwa moja unapowasha kompyuta yako.</translation>
254 <translation id="8974095189086268230">Chromium OS imewezeshwa na programu za ziada za <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS"/>programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS"/>.</translation>
255 <translation id="313551035350905294">Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chromium. Data yako kwenye Chromium, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye <ph name="USER_NAME"/>. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.</translation>
256 <translation id="8823523095753232532">Unganisha data yangu ya Chromium kwenye akaunti hii</translation>
257 <translation id="1808667845054772817">Sakinisha Chromium Upya</translation>
258 <translation id="1221340462641866827">Chromium OS haihimili kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME"/>. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK"/>.</translation>
259 <translation id="328888136576916638">Funguo za Google API zinakosekana. Utendaji fulani wa Chromium utazimwa.</translation>
260 <translation id="2602806952220118310">Chromium - Arifa</translation>
261 <translation id="5032989939245619637">Hifadhi maelezo katika Chromium</translation>
262 <translation id="8803635938069941624">Masharti ya Chromium OS</translation>
263 </translationbundle>