2 <!DOCTYPE translationbundle
>
3 <translationbundle lang=
"sw">
4 <translation id=
"2286950485307333924">Sasa umeingia katika Chrome
</translation>
5 <translation id=
"8000275528373650868">Google Chrome inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au ya juu zaidi.
</translation>
6 <translation id=
"1302523850133262269">Tafadhali subiri Chrome inaposakinisha sasisho mpya za mfumo.
</translation>
7 <translation id=
"4754614261631455953">Google Chrome Canary (mDNS-In)
</translation>
8 <translation id=
"123620459398936149">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia Kusawazisha.
</translation>
9 <translation id=
"5430073640787465221">Faili yako ya mapendekezo imeharibika au ni batili.
11 Google Chrome haiwezi kufufua mipangilio yako.
</translation>
12 <translation id=
"6676384891291319759">Fika kwenye wavuti
</translation>
13 <translation id=
"573759479754913123">Kuhusu Chrome OS
</translation>
14 <translation id=
"345171907106878721">Jiongeze kwenye Chrome
</translation>
15 <translation id=
"4921569541910214635">Ungependa kushiriki kompyuta? Sasa unaweza kusanidi Chrome kama tu unavyoipenda.
</translation>
16 <translation id=
"6236285698028833233">Google Chrome imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.
</translation>
17 <translation id=
"5453904507266736060">Ruhusu Google Chrome Iendeshe Katika Mandharinyuma
</translation>
18 <translation id=
"3454512769850953877">Ndiyo, ondoka kwenye Chrome
</translation>
19 <translation id=
"4167057906098955729">Unaweza kuona arifa zako zote kutoka programu za Chrome, viendelezi, na tovuti hapa.
</translation>
20 <translation id=
"2704356438731803243">Iwapo unapendelea kutenga data ya Chrome iliyopo, unaweza kuweka mtumiaji mpya wa Chrome kwa
<ph name=
"USER_NAME"/>.
</translation>
21 <translation id=
"386202838227397562">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na ujaribu tena.
</translation>
22 <translation id=
"3784527566857328444">Ondoa Kwenye Chrome...
</translation>
23 <translation id=
"1225016890511909183">Chrome itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo siku za usoni.
</translation>
24 <translation id=
"2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:
</translation>
25 <translation id=
"7400722733683201933">Kuhusu Google Chrome
</translation>
26 <translation id=
"8838365799985821335">Kiendelezi kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.
</translation>
27 <translation id=
"2077129598763517140">Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana
</translation>
28 <translation id=
"1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
30 Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.
</translation>
31 <translation id=
"7781002470561365167">Toleo jipya la Google Chrome linapatikana.
</translation>
32 <translation id=
"5251420635869119124">Walioalikwa wanaweza kutumia Chrome bila kuacha chochote nyuma.
</translation>
33 <translation id=
"4891791193823137474">Ruhusu Google Chrome iendeshe katika mandharinyuma
</translation>
34 <translation id=
"110877069173485804">Hii ndiyo Chrome yako
</translation>
35 <translation id=
"8406086379114794905">Saidia kuboresha Chrome
</translation>
36 <translation id=
"2896252579017640304">Zindua programu za Chrome
</translation>
37 <translation id=
"4121281502786319101">Chrome haiwezi kuanzisha muunganisho wa faragha
<strong
> <ph name=
"DOMAIN"/> </Strong
>. Pengine hii ni kwa sababu tarehe ya kifaa chako imewekwa vibaya. (Kifaa chako kimeweka tarehe kuwa
<ph name=
"DATE"/>). Unapaswa kuonyesha upya ukurasa huu baada
<ph name=
"BEGIN_LINK"/>umesasisha tarehe na saa ya kifaa chako
<ph name=
"END_LINK"/>.
</translation>
38 <translation id=
"5620765574781326016">Pata maelezo kuhusu mada zilizo kwenye tovuti bila kuondoka kwenye ukurasa.
</translation>
39 <translation id=
"2721687379934343312">Kwenye Mac, manenosiri yanahifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kulandanishwa na watumiaji wengine wa Chrome wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.
</translation>
40 <translation id=
"683440813066116847">Sheria ya ndani ya Google Chrome Canary ili kuruhusu trafiki ya mDNS.
</translation>
41 <translation id=
"4953650215774548573">Weka Google Chrome iwe kivinjari chako chaguo-msingi
</translation>
42 <translation id=
"6014844626092547096">Sasa umeingia kwenye Chrome! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.
</translation>
43 <translation id=
"7419046106786626209">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani katika kikoa chako.
</translation>
44 <translation id=
"3140883423282498090">Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua Google Chrome.
</translation>
45 <translation id=
"1773601347087397504">Pata msaada wa kutumia Chrome OS
</translation>
46 <translation id=
"6982337800632491844"><ph name=
"DOMAIN"/> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Google Chrome OS.
</translation>
47 <translation id=
"4309555186815777032">(inahitaji uanzishaji upya wa
<ph name=
"BEGIN_BUTTON"/>Chrome
<ph name=
"END_BUTTON"/>)
</translation>
48 <translation id=
"8030318113982266900">Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha
<ph name=
"CHANNEL_NAME"/>...
</translation>
49 <translation id=
"8032142183999901390">Baada ya kuiondoa akaunti yako kwenye Chrome, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi.
</translation>
50 <translation id=
"5775197990071433230">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la vijenzi vya Google Chrome. Tafadhali tumia Kisakinishi cha hivi karibuni zaidi.
</translation>
51 <translation id=
"4987308747895123092">Tafadhali funga madirisha yako yote ya Google Chrome (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Windows) na ujaribu tena.
</translation>
52 <translation id=
"568643307450491754">Pata alamisho zako katika menyu ya Chrome au kwenye upau wa alamisho.
</translation>
53 <translation id=
"8556340503434111824">Kuna toleo jipya linalopatikana la Google Chrome, na ni la kasi kuliko la awali.
</translation>
54 <translation id=
"8987477933582888019">Kivinjari cha Wavuti
</translation>
55 <translation id=
"4728575227883772061">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.
</translation>
56 <translation id=
"3080151273017101988">Endelea kuendesha programu zinazofanya kazi chini chini wakati Google Chrome imefungwa
</translation>
57 <translation id=
"4149882025268051530">Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
</translation>
58 <translation id=
"7054640471403081847">Hivi karibuni kompyuta yako itaacha kupokea sasisho za Google Chrome kwa sababu maunzi yake hayatumiki tena.
</translation>
59 <translation id=
"6989339256997917931">Google Chrome imesasishwa, lakini hujaitumia kwa angalau siku
30.
</translation>
60 <translation id=
"7060865993964054389">Kizinduzi cha Programu za Chrome
</translation>
61 <translation id=
"1682634494516646069">Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
63 <ph name=
"USER_DATA_DIRECTORY"/></translation>
64 <translation id=
"127345590676626841">Chrome husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote. Upakuaji huu unapokamilika, Chrome itajizima na kuwaka tena na utaanza kutumia.
</translation>
65 <translation id=
"3738139272394829648">Gusa ili Utafute
</translation>
66 <translation id=
"8227755444512189073">Google Chrome inahitaji kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya
<ph name=
"SCHEME"/>. Kiungo kilichoitishwa ni
<ph name=
"PROTOLINK"/>.
</translation>
67 <translation id=
"8290100596633877290">Ho! Google Chrome imezimika. Ianzishe tena sasa?
</translation>
68 <translation id=
"1480489203462860648">Ijaribu, tayari imesakinishwa
</translation>
69 <translation id=
"5204098752394657250">Sheria na Masharti za
<ph name=
"TERMS_OF_SERVICE_LINK"/>Google Chrome
<ph name=
"END_TERMS_OF_SERVICE_LINK"/></translation>
70 <translation id=
"4743926867934016338">Kubali na Utafute
</translation>
71 <translation id=
"1393853151966637042">Pata usaidizi wa kutumia Chrome
</translation>
72 <translation id=
"7398801000654795464">Uliingia kwenye Chrome kama
<ph name=
"USER_EMAIL_ADDRESS"/>. Tafadhali tumia akaunti sawa ili kuingia tena.
</translation>
73 <translation id=
"5338943029751206389">Tovuti hii inatumia mipangilio ya usalama iliyopitwa na wakati ambayo inaweza kuzuia matoleo ya baadaye ya Chrome kutokuwa na uwezo wa kuifikia kwa usalama.
</translation>
74 <translation id=
"4513711165509885787">Maelezo yako ya utozwaji yamehifadhiwa katika Chrome.
</translation>
75 <translation id=
"5253588388888612165">Ukishiriki kompyuta hii na
<ph name=
"PROFILE_NAME"/>, jiongeze kwenye Chrome ili uvinjari tofauti. Vinginevyo ondoa Akaunti yake ya Google.
</translation>
76 <translation id=
"7098166902387133879">Google Chrome inatumia maikrofoni yako.
</translation>
77 <translation id=
"4053720452172726777">Dhibiti na ugeuze Google Chrome ikufae
</translation>
78 <translation id=
"4315766637075282876">Chrome itahifadhi hii katika |Manenosiri yako ya Google yaliyohifadhiwa| na kukujazia kiotomatiki ili usilazimike kulimbuka wewe mwenyewe.
</translation>
79 <translation id=
"5298539825145851748">Ondoa Kwenye Chrome
</translation>
80 <translation id=
"3197823471738295152">Kifaa chako kimesasishwa.
</translation>
81 <translation id=
"8286862437124483331">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.
</translation>
82 <translation id=
"3889417619312448367">Ondoa Google Chrome
</translation>
83 <translation id=
"1434626383986940139">Programu za Chrome Canary
</translation>
84 <translation id=
"8551886023433311834">Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha.
</translation>
85 <translation id=
"6169866489629082767"><ph name=
"PAGE_TITLE"/> - Google Chrome
</translation>
86 <translation id=
"1073391069195728457">Chrome - Arifa
</translation>
87 <translation id=
"7339898014177206373">Dirisha jipya
</translation>
88 <translation id=
"3282568296779691940">Ingia katika Chrome
</translation>
89 <translation id=
"3089968997497233615">Kuna toleo jipya na salama la Google Chrome.
</translation>
90 <translation id=
"5037239767309817516">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na uianzishe upya ili mabadiliko haya yatekelezwe.
</translation>
91 <translation id=
"345168553362876363">Kizinduzi cha Programu ya Google Chrome ni mfumo wa pekee wa programu za Chrome.
</translation>
92 <translation id=
"225614027745146050">Karibu
</translation>
93 <translation id=
"7473891865547856676">La Asante
</translation>
94 <translation id=
"4298853828775962437">http://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe
</translation>
95 <translation id=
"3149510190863420837">Programu za Chrome
</translation>
96 <translation id=
"7473136999113284234">Chrome husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote.
</translation>
97 <translation id=
"7084448929020576097"><ph name=
"FILE_NAME"/> ni hasidi, na Chrome imeizuia.
</translation>
98 <translation id=
"6368958679917195344">Chrome OS imewezeshwa na programu ya ziada ya
<ph name=
"BEGIN_LINK_CROS_OSS"/>programu huria
<ph name=
"END_LINK_CROS_OSS"/>.
</translation>
99 <translation id=
"7459554271817304652">Sanidi Usawazishaji ili kuhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Google Chrome kwenye kompyuta yoyote.
</translation>
100 <translation id=
"4331809312908958774">Chrome OS
</translation>
101 <translation id=
"8823341990149967727">Toleo hili la Chrome Limepitwa na Wakati
</translation>
102 <translation id=
"4424024547088906515">Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni
<ph name=
"DOMAIN"/>; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na Chrome. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.
</translation>
103 <translation id=
"6722021951952731012">ili uanzishe muunganisho salama wa mtandao, kompyuta yako inahitaji saa sahihi. Hii ni kwa sababu vyeti vinavyotumiwa na tovuti kujitambua zinapoanzisha muunganisho salama huwa ni sahihi kwa muda maalum pekee. Kwa sababu saa ya kompyuta yako si sahihi, Chrome haiwezi kuangalia vizuri vyeti.
</translation>
104 <translation id=
"473775607612524610">Sasisha
</translation>
105 <translation id=
"1195935957447623558">Google Chrome haikufungika ipasavyo. Kufungua tena kurasa ulizokuwa umefungua, bofya Rejesha.
</translation>
106 <translation id=
"2576431527583832481">Chrome imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.
</translation>
107 <translation id=
"4633000520311261472">Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika
<ph name=
"IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE"/> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.
</translation>
108 <translation id=
"3656661827369545115">Fungua Chromium kiotomatiki kompyuta yako inapowashwa
</translation>
109 <translation id=
"1763864636252898013">Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni
<ph name=
"DOMAIN"/>; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.
</translation>
110 <translation id=
"556024056938947818">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri.
</translation>
111 <translation id=
"2580411288591421699">Huwezi kusakinisha toleo la Google Chrome ambalo tayari linatumika. Tafadhali funga Google Chrome na ujaribu tena.
</translation>
112 <translation id=
"8460191995881063249">Kituo cha Chrome cha Taarifa
</translation>
113 <translation id=
"1457721931618994305">Inasasisha Google Chrome...
</translation>
114 <translation id=
"2429317896000329049">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.
</translation>
115 <translation id=
"7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.
</translation>
116 <translation id=
"5170938038195470297">Wasifu wako huenda usitumike kwa sababu unatoka katika toleo jipya la Google Chrome.
118 Huenda baadhi ya vipengele visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au tumia toleo jipya la Chrome.
</translation>
119 <translation id=
"7282192067747128786">Chrome - Arifa (
<ph name=
"QUANTITY"/> hazijasomwa)
</translation>
120 <translation id=
"6011049234605203654">Nenda kwenye
122 <ph name=
"SETTINGS_TITLE"/>
124 <ph name=
"ADVANCED_TITLE"/>
126 <ph name=
"PROXIES_TITLE"/>
127 na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye
"hakuna proksi
" au
"moja kwa moja.
"</translation>
128 <translation id=
"6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...
</translation>
129 <translation id=
"2485422356828889247">Ondoa
</translation>
130 <translation id=
"4480040274068703980">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.
</translation>
131 <translation id=
"7908968924842975895">Kompyuta hii haitapokea sasisho za Google Chrome kwa sababu maunzi yake hayatumiki tena.
</translation>
132 <translation id=
"2748463065602559597">Unautazama ukurasa salama wa Google Chrome.
</translation>
133 <translation id=
"7185038942300673794"><ph name=
"EXTENSION_NAME"/> imeongezwa kwenye Chrome.
</translation>
134 <translation id=
"7494905215383356681">Leseni za programu huria kwenye Chrome
</translation>
135 <translation id=
"2346876346033403680">Awali mtu aliingia katika Chrome kwenye kompyuta hii kama
<ph name=
"ACCOUNT_EMAIL_LAST"/>. Iwapo hiyo sio akaunti yako, weka mtumiaji mwengine wa Chrome ili utenganishe maelezo yako.
137 Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chrome kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye
<ph name=
"ACCOUNT_EMAIL_NEW"/>.
</translation>
138 <translation id=
"9107728822479888688"><ph name=
"BEGIN_BOLD"/>Onyo:
<ph name=
"END_BOLD"/> Google Chrome haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya utafutaji. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, acha kuchagua hiari hii.
</translation>
139 <translation id=
"7808348361785373670">Ondoa kwenye Chrome...
</translation>
140 <translation id=
"1759842336958782510">Chrome
</translation>
141 <translation id=
"5563479599352954471">Tafuta kwa mguso mmoja tu
</translation>
142 <translation id=
"2664962310688259219">Leseni za programu huria kwenye Chrome OS
</translation>
143 <translation id=
"2290014774651636340">Funguo za API za Google zinakosekana. Baadhi ya utendaji wa Google Chrome utazimwa.
</translation>
144 <translation id=
"2397416548179033562">Onyesha Menyu ya Chrome
</translation>
145 <translation id=
"4794050651896644714">Hifadhi maelezo katika Chrome
</translation>
146 <translation id=
"911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?
</translation>
147 <translation id=
"5855036575689098185">Programu unayotumia kwenye kompyuta yako haioani na Google Chrome.
</translation>
148 <translation id=
"7164397146364144019">Unaweza kusaidia kuifanya Chrome kuwa salama na rahisi zaidi kutumia kwa kuripoti maelezo ya uwezekano wa matukio yasiyo salama kwa Google kiotomatiki.
</translation>
149 <translation id=
"8008534537613507642">Sakinisha Chrome Upya
</translation>
150 <translation id=
"2044287590254833138">Upau wa Google Chrome
</translation>
151 <translation id=
"8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.
</translation>
152 <translation id=
"2874156562296220396">Google Chrome imefanikishwa na mradi wa programu huria wa
<ph name=
"BEGIN_LINK_CHROMIUM"/>Chromium
<ph name=
"END_LINK_CHROMIUM"/> na
<ph name=
"BEGIN_LINK_OSS"/>programu huria
<ph name=
"END_LINK_OSS"/> zingine.
</translation>
153 <translation id=
"7191567847629796517">Google Chrome OS haitumii kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya
<ph name=
"SCHEME"/>. Kiungo kilichoombwa ni
<ph name=
"PROTOLINK"/>.
</translation>
154 <translation id=
"3847841918622877581">Google Chrome inaweza itumie huduma za wavuti ili kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.
</translation>
155 <translation id=
"7436949144778751379">Google Chrome inahitaji Windows XP au mpya zaidi. Baadhi ya vipengele huenda visifanye kazi.
</translation>
156 <translation id=
"5877064549588274448">Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.
</translation>
157 <translation id=
"103396972844768118">Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chrome
</translation>
158 <translation id=
"6757767188268205357">Usinisumbue
</translation>
159 <translation id=
"2290095356545025170">Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome?
</translation>
160 <translation id=
"7062966102157262887">Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Google Chrome na kughairi upakuaji?
</translation>
161 <translation id=
"4273752058983339720">Google Chrome imesanidiwa ili kuzindua moja kwa moja unapowasha komyuta yako.
</translation>
162 <translation id=
"415994390253732730">Je, Chrome imebadilika visivyo?
</translation>
163 <translation id=
"1104959162601287462">Kuhusu
&Chrome OS
</translation>
164 <translation id=
"5328989068199000832">Jozi za Google Chrome
</translation>
165 <translation id=
"5941830788786076944">Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguo-msingi
</translation>
166 <translation id=
"1759301979429102118">Maelezo kutoka kwa anwani zako yanaweza kukusaidia kujaza fomu kwa haraka zaidi katika Chrome.
</translation>
167 <translation id=
"7787950393032327779">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Google Chrome (
<ph name=
"PROCESS_ID"/>) kwenye kompyuta nyingine (
<ph name=
"HOST_NAME"/>). Chrome imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inayotumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue Chrome tena.
</translation>
168 <translation id=
"1469002951682717133">Kizinduzi cha Programu za Chrome
</translation>
169 <translation id=
"8568392309447938879">Unahitajika kuingia katika akaunti ya Chrome ili utumie programu hizi. Hii huruhusu Chrome kusawazisha programu zako, alamisho, historia, manenosiri na mipangilio mingine katika vifaa vyote.
</translation>
170 <translation id=
"4990567037958725628">Kanari ya Google Chrome
</translation>
171 <translation id=
"4561051373932531560">Google Chrome inakuwezesha kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipigia simu kwa Skype!
</translation>
172 <translation id=
"2705287621619748344">Chrome haiwezi kuanzisha muunganisho wa faragha kwenye
<strong
> <ph name=
"DOMAIN"/> </Strong
>. Pengine hii ni kwa sababu tarehe ya kompyuta yako imewekwa vibaya (Tarehe ya kompyuta yako imewekwa kuwa
<ph name=
"DATE"/>). Unapaswa uonyeshe upya ukurasa baada
<ph name=
"BEGIN_LINK"/>umesasisha tarehe na saa ya kompyuta yako
<ph name=
"END_LINK"/>.
</translation>
173 <translation id=
"5788838254726722945">Sakinusha Kizinduzi cha Programu ya Chrome
</translation>
174 <translation id=
"3612333635265770873">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Google Chrome.
</translation>
175 <translation id=
"2665296953892887393">Saidia kuboresha Google Chrome kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na
<ph name=
"UMA_LINK"/> kwenda Google
</translation>
176 <translation id=
"7761834446675418963">Bofya jina lako ili ufungue Chrome na uanze kuvinjari.
</translation>
177 <translation id=
"2669824781555328029"><ph name=
"FILE_NAME"/> inaweza kudhuru hali yako ya kuvinajri, kwa hivyo Chrome imeizuia.
</translation>
178 <translation id=
"5875635642195358109">Nenda kwenye
180 <ph name=
"SETTINGS_TITLE"/>
182 <ph name=
"ADVANCED_TITLE"/>
183 na uondoe tiki kwenye
"<ph name=
"NO_PREFETCH_DESCRIPTION"/>.
"
184 Iwapo hii haitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena hiari hili kwa utendaji ulioboreshwa.
</translation>
185 <translation id=
"6235018212288296708">Sheria ya ndani ya Google Chrome ili kuruhusu trafiki ya mDNS.
</translation>
186 <translation id=
"3281987435599047980">hutuma neno na maudhui yanayoizingira kwa Huduma ya Tafuta na Google, kurudisha ufafanuzi, picha, matokeo ya utafutaji, na maelezo mengine.
</translation>
187 <translation id=
"61852838583753520">Sasisha Chrome OS
</translation>
188 <translation id=
"5028489144783860647">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.
</translation>
189 <translation id=
"9026991721384951619">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.
</translation>
190 <translation id=
"8547799825197623713">Canary ya Kizinduzi cha Programu ya Chrome
</translation>
191 <translation id=
"6326175484149238433">Ondoa kwenye Chrome
</translation>
192 <translation id=
"2871893339301912279">Umeingia kwenye Chrome!
</translation>
193 <translation id=
"7890208801193284374">Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chrome jinsi wapendavyo.
</translation>
194 <translation id=
"7161904924553537242">Karibu Google Chrome
</translation>
195 <translation id=
"4147555960264124640">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahusishwa na
<ph name=
"USER_NAME"/> daima . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.
<ph name=
"LEARN_MORE"/></translation>
196 <translation id=
"4568169453579447500">Google Chrome haiwezi kusasishwa kwa sababu ya mipangilio isiyofanana ya Sera ya Kikundi Sasishi ya Google. Tumia Kihariri cha Sera ya Kikundi kuweka kubatilishwa kwa sera ya sasishi kwa programu ya Google Chrome Binaries na ujaribu tena; angalia http://goo.gl/uJ9gV kwa maelezo.
</translation>
197 <translation id=
"1348153800635493797">Lazima upate toleo jipya la Chrome ili kutumia Google Wallet [
<ph name=
"ERROR_CODE"/>].
</translation>
198 <translation id=
"8187289872471304532">Nenda kwenye
199 Programu
> Mapendeleo ya Mfumo
> Mtandao
> Uboreshaji
> Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa.
</translation>
200 <translation id=
"8669527147644353129">Msaidizi wa Google Chrome
</translation>
201 <translation id=
"870251953148363156">Sasisha
&Google Chrome
</translation>
202 <translation id=
"130631256467250065">Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako.
</translation>
203 <translation id=
"163860049029591106">Anza kutumia Chrome OS
</translation>
204 <translation id=
"1587223624401073077">Google Chrome inatumia kamera yako.
</translation>
205 <translation id=
"1399397803214730675">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Google Chrome. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali sanidua Google Chrome na ujaribu tena.
</translation>
206 <translation id=
"3444832043240812445">Ukurasa huu unaonyesha tu maelezo yako ya uharibifu wa hivi karibuni ukiwezesha
<ph name=
"BEGIN_LINK"/>kuripoti uharibifu
<ph name=
"END_LINK"/>.
</translation>
207 <translation id=
"8614913330719544658">Google Chrome imelemazwa. Izindue upya sasa?
</translation>
208 <translation id=
"2681064822612051220">Usakinishi tatanishi wa Google Chrome ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali uondoe na ujaribu tena.
</translation>
209 <translation id=
"6126631249883707068">Je, ungependa Google Chrome ihifadhi nenosiri lako?
</translation>
210 <translation id=
"7773845170078702898">Je, unataka Google Chrome ihifadhi nenosiri lako la tovuti hii?
</translation>
211 <translation id=
"4251615635259297716">Ungependa kuunganisha data yako ya Chrome kwenye akaunti hii?
</translation>
212 <translation id=
"7125719106133729027">Chrome haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kusakinisha Chrome upya mwenyewe.
</translation>
213 <translation id=
"5940385492829620908">Wavuti, alamisho, na vitu vyako vingine vya Chrome vinapatikana hapa.
</translation>
214 <translation id=
"629218512217695915">Tumia nenosiri lililozalishwa na Chrome
</translation>
215 <translation id=
"5566025111015594046">Google Chrome (mDNS-In)
</translation>
216 <translation id=
"6113794647360055231">Chrome imeboreshwa zaidi
</translation>
217 <translation id=
"4367618624832907428">Google Chrome haiwezi kuonyesha ukurasa wa wavuti kwa sababu kompyuta yako haijaunganishwa kwenye Intanenti.
</translation>
218 <translation id=
"174539241580958092">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu ya kuingia katika akaunti.
</translation>
219 <translation id=
"8255190535488645436">Google Chrome inatumia kamera na maikrofoni yako.
</translation>
220 <translation id=
"7396375882099008034">Ruhusu Chrome ifikie mtandao kwenye mipangilio yako ya ngome au kingavirusi.
</translation>
221 <translation id=
"9102715433345326100">Faili hii ni hasidi, na Chrome imeizuia.
</translation>
222 <translation id=
"3170677364322086041">Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Chrome Frame ambayo haipokei tena taarifa za usalama na uthabiti. Tafadhali iondoe na upate toleo jipya la kivinjari cha kisasa.
</translation>
223 <translation id=
"8205111949707227942">Hiari: Saidia kuifanya Chrome OS kuwa bora kwa kutuma kiotomatiki takwimu za utumiaji na ripoti za kuvurugika kwa Google.
</translation>
224 <translation id=
"7253415505590551024">Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Google Chrome na kughairi upakuaji?
</translation>
225 <translation id=
"487887346205285304">Je, Chrome imebadilika visivyo?
</translation>
226 <translation id=
"3622797965165704966">Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chrome pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.
</translation>
227 <translation id=
"7196020411877309443">Ni kwa kwa nini ninaona hii?
</translation>
228 <translation id=
"2769762047821873045">Google Chrome sio kivinjari chako cha chaguo-msingi
</translation>
229 <translation id=
"4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama
<ph name=
"USER_EMAIL_ADDRESS"/>. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.
</translation>
230 <translation id=
"6855094794438142393">Nenda kwenye
232 <ph name=
"SETTINGS_TITLE"/>
234 <ph name=
"ADVANCED_TITLE"/>
236 <ph name=
"PROXIES_TITLE"/>
239 na uondoe tiki kwenye
"Tumia seva ya proksi kwa LAN yako
".
</translation>
240 <translation id=
"6598387184982954187">Unatumia
<ph name=
"PROFILE_EMAIL"/> kusawazisha vitu vyako kwenye Chrome. Ili usasishe mapendeleo yako ya usawazishaji au utumie Chrome bila akaunti ya Google, tembelea
<ph name=
"SETTINGS_LINK"/>.
</translation>
241 <translation id=
"7825851276765848807">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
</translation>
242 <translation id=
"1150979032973867961">Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni
<ph name=
"DOMAIN"/>; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.
</translation>
243 <translation id=
"4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.
</translation>
244 <translation id=
"5489213858994471184">Chrome imegundua kwamba mipangilio ya kivinjari huenda imebadilishwa na programu iliyo kwenye kompyuta yako bila wewe kujua. Unaweza kutumia Zana ya Kuondoa Programu ya Google ili uondoe programu hiyo.
</translation>
245 <translation id=
"8679801911857917785">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.
</translation>
246 <translation id=
"5334545119300433702">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Google Chrome.
</translation>
247 <translation id=
"4407807842708586359">Google Chrome OS
</translation>
248 <translation id=
"6634887557811630702">Google Chrome imesasishwa.
</translation>
249 <translation id=
"4120075327926916474">Je, unataka Chrome ihifadhi maelezo haya ya kadi ya mkopo ya kukamilisha fomu za wavuti?
</translation>
250 <translation id=
"3037838751736561277">Google Chrome iko katika hali ya chini chini.
</translation>
251 <translation id=
"2084710999043359739">Ongeza kwenye Chrome
</translation>
252 <translation id=
"4692614041509923516">Kompyuta yako inatumia toleo la zamani la Microsoft Windows ambalo haliwezi kuchakata cheti cha usalama cha tovuti. Kwa sababu ya tatizo hili, Google Chrome haiwezi kutambua ikiwa cheti kilitoka kwenye
<ph name=
"SITE"/> au kwa mtu kwenye mtandao wako anayejifanya kuwa
<ph name=
"SITE"/>. Tafadhali pata toleo jipya sana la Windows kwa kompyuta yako.
</translation>
253 <translation id=
"3360895254066713204">Msaidizi wa Chrome
</translation>
254 <translation id=
"1877026089748256423">Toleo hili la Chrome limepitwa na wakati
</translation>
255 <translation id=
"7592736734348559088">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.
</translation>
256 <translation id=
"6991142834212251086">Unganisha data yangu ya Chrome kwenye akaunti hii
</translation>
257 <translation id=
"3451115285585441894">Inaongeza kwenye Chrome...
</translation>
258 <translation id=
"3047079729301751317">Kuondoa
<ph name=
"USERNAME"/> kutafuta historia, alamisho, mipangilio, na data zako nyingine kwenye Chrome zilizohifadhiwa kwenye kifaa hiki. Data iliyohifadhiwa katika Akaunti ya Google haitafutwa na inaweza kudhibitiwa kwenye
<ph name=
"GOOGLE_DASHBOARD_LINK"/>Dashibodi ya Google
<ph name=
"END_GOOGLE_DASHBOARD_LINK"/>.
</translation>
259 <translation id=
"1001534784610492198">Kumbukumbu ya kisanidi imevurugika au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
</translation>
260 <translation id=
"2246246234298806438">Google Chrome haiwezi kuonyesha uhakiki wa kuchapisha wakati kionyeshi kilichojengewa ndani cha PDF kinakosekana.
</translation>
261 <translation id=
"6626317981028933585">Yasikitisha, mipangilio ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kikiwa kinatumika. Kuingiza mipangilio hiyo kwa Google Chrome, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.
</translation>
262 <translation id=
"7242029209006116544">Unaingia katika akaunti ykitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahishwa na
<ph name=
"USER_NAME"/> daima. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kuunda kwa hiari wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chrome iliyo kando.
<ph name=
"LEARN_MORE"/></translation>
263 <translation id=
"5386244825306882791">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.
</translation>
264 <translation id=
"8540666473246803645">Google Chrome
</translation>
265 <translation id=
"2334084861041072223">Hakimiliki
<ph name=
"YEAR"/> Google Inc. Haki zote zimehifadhiwa.
</translation>
266 <translation id=
"1698376642261615901">Google Chrome ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya kasi, thabiti, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi kwa kinga dhidi ya programu hasidi na hadaa iliyojengwa ndani ya Google Chrome.
</translation>
267 <translation id=
"853189717709780425">Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chrome. Data yako kwenye Chrome, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye
<ph name=
"USER_NAME"/>. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.
</translation>
268 <translation id=
"6049075767726609708">Msimamiaji kompyuta amesanidi Google Chrome kwenye mfumo huu na inapatikana kwa watumiaji wote. Google Chrome ya kiwango cha mfumo itachukua mahali pa usanidi wako wa kiwago cha mtumiaji sasa.
</translation>
269 <translation id=
"1818142563254268765">Chrome haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kupata toleo jipya la Chrome.
</translation>
270 <translation id=
"4821676311965554623">Ili uanzishe muunganisho salama wa mtandao, kifaa chako kinahitaji saa sahihi. Hii ni kwa sababu vyeti vinavyotumiwa na tovuti kujitambua zinapoanzisha muunganisho salama ni sahihi kwa muda maalum pekee. Kwa sababu saa ya kifaa chako si sahihi, Chrome haiwezi kuangalia vizuri vyeti.
</translation>
271 <translation id=
"7408085963519505752">Masharti ya Chrome OS
</translation>
272 <translation id=
"3870154837782082782">Google Inc.
</translation>
273 <translation id=
"3836351788193713666">Inakaribia kusasishwa! Funga na ufungue Google Chrome ili imalize kusasisha.
</translation>
274 <translation id=
"884296878221830158">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome au unapobofya kitufe cha Mwanzo.
</translation>
275 <translation id=
"7106741999175697885">Kidhibiti cha Shughuli - Google Chrome
</translation>
276 <translation id=
"3396977131400919238">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
</translation>
277 <translation id=
"8037887340639533879">Hakuna usakinishi wa Google Chrome uliopatikana kusasishwa.
</translation>
278 <translation id=
"5495581687705680288">Vijenzi vilipakia katika Google Chrome
</translation>
279 <translation id=
"8129812357326543296">Kuhusu
&Google Chrome
</translation>